Mabati Rolling Mills Prices

Nini kinafanya bati za kiwanda kimoja kuwa na bei tofauti wakati material ni yale yale,kiwanda hicho hicho na machine hizo hizo 1.Gaugeunene wa bati hiki ni kigezo kikubwa sana katika kutofautisha bei bati hilo hilo ,material hayo hayo,rangi hiyo hiyo ila.